Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Huyo anayesema hivyo inawezekana anao umeme wa kutosha, kwahiyo anataka usivae soksi akugawie japo Unit kadhaa!
Wanawake mnavumilia mengi sana, poleniSio kuwasha tu zinaumiza. So I prefer kufanya mapenzi na mwanaume mmoja tu nayemuamini.
Kuna baadhi ya wanawake huwa wanadai kwamba hawawezi kufanya mapenzi kwa kutumia kondom sababu huwa zinawawasha.
Wengine huenda mbali zaidi na kusema kwamba huwa wanapata michubuko pindi wanapofanya mapenzi kwa kutumia kondom.
Je ni kweli huwa zinawawasha au inakuwaga ni gia yao tu kutaka kufanya mapenzi bila kinga ?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]From Zero IG to Zero Competition, huu mwaka lazma tufe mapema.
neno "mkuu" lisitumike kwa watu wa aina hii!dada ako anasemaje khs hilo.?
Kwely kabsa mkuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kulazimishwa na si kwa kupendaHivi watu wanavaa bado?