Ni kweli wanaume hukwepa kuvaa pete za ndoa?

Ni kweli wanaume hukwepa kuvaa pete za ndoa?

Wananikera kweli wanaume waliooa afu hawavai pete... Sijui kwanini hawajiamini....

Kuna mchezaji mmoja jina nimesahau alikuwa anaibusu pete yake kila mara kama ishara ya kukumbuka agano lake na mkewe...

My dear wewe ni kama mimi sipendi wanandoa kutokuvaa rings zao na kuziheshimu haswa wakitoka nnje.. Kama vipi wasioe or kuolewa.. Since bado they want ujana .. Thanks..
 
Hii muhimu hii. Mimi ya kwangu kwa kweli navaa na nipo comfortable. Sababu hata kama ni mchepuko huwa sifichi kuwa I have a family.

Heri yako . good for you.. But please acha plan zako B , stay on the right track , please. Thanks..
 
Tena michepuko wanapenda sana watu wanaovaa pete zao wakiamini kuwa wameoa/wameolewa na hivyo basi wana uwezo mzuri wa kulea na kumtunza mtu na pia usiri kati yao utakuwepo.

Binafsi if I see you una ring I will run away from you.. So hao some wadada wanajitafutia laana na mapepo . Thanks..
 
naipata nkitoka nayo nje.. nikiwa ndani AC kidogo inasaidia!!! Thanks

Mmmmhhhhmmmm.... Haya. Ila just know that the Allergy ninayoijua Mimi huwa haitokei tuu outside hata ndani pia. But for inayokutokea wewe nnje I think I smell some other reason na sio allergy . .Thanks..
 
Wananikera kweli wanaume waliooa afu hawavai pete... Sijui kwanini hawajiamini....

Kuna mchezaji mmoja jina nimesahau alikuwa anaibusu pete yake kila mara kama ishara ya kukumbuka agano lake na mkewe...

raul gonzalez na ricardo kaka
 
Kiislam ndio so lazima ila ni sunnah na ni jambo zuri kwani kuna dini ni lazima!
 
Mi bro wangu kaoa juzi juzi basi hadi kero home full mashauzi kila akiongea anaonyeshea ishara ya kidole kilichovaa pete, akijichokonoa jino hivo hivo...watu tukasema subiri ndoa ifikishe mwaka atavua mwenyewe!

Acha kumwombea bro mabaya bhana!!!....au humpendi wifi yako???........umeharibu ulivyomalizia....
 
Wananikera kweli wanaume waliooa afu hawavai pete... Sijui kwanini hawajiamini....

Kuna mchezaji mmoja jina nimesahau alikuwa anaibusu pete yake kila mara kama ishara ya kukumbuka agano lake na mkewe...

Francesico Toti- AS Roma Italia
 
Ina maana mimi nilievaaa hadi leo sina akili? Ila inanikera basi tu
 
Kiislam ndio so lazima ila ni sunnah na ni jambo zuri kwani kuna dini ni lazima!

Sio sunnah wala sio faradhi,
Ni mambo tu ya kidunia,

Mtume (s.a.w) hakuvaa pete ya ndoa wala wake zake.
Wala mitume wooote hawakuvaa.
 
Sielewi maana ya pete,
Maana wenye pete wanachepuka,
Wenye pete wanatongoza,
Wengn huvaa pete ya ndoa lkn hawana ndoa (kuna maslah huyapata)
 
Mimi wife anavaa lakini mimi sivai.ni kama hobby flani sioni umuhimu wake
 
Back
Top Bottom