BAsically and unfortunately that's a fact. Kule watu wanatembea haraka kama vile chini kunaunguza na wanachelea kuuweka mguu kwa muda mrefu bila ya kuunyanyua fasta usiungue!About 4 years back, nilienda Nairobi, wakati natembea downtown mchana, walinitokezea mijitu minne mirefi na meusi! Ilinizunguka huku wakiwa na visu, sikutaka kuleta kukuru kakara kwa kuwa nilihofia watanidhuru, walinisachi na kunichukulia simu na wallet iliyokuwa na 700 usd na kupotea huku kukiwa na watu wengi sana, lakini nobody cared!.. Nilifanikiwa kurudi Dar, nikakutana na rafiki yangu mmoja Mkenya nikamsimulia masibu yaliyonikuta, kisha nikamuuliza kwa nini ile mijizi imeacha watu wote na kunivamia mimi? Alichonijibu kiliniwacha hoi, Aliniambia kuwa wale wezi kabla hawajamvamia mtu kwanza wanaangalia WALKING SYSTEM yake, Na WALKING SYSTEM ya Dar is quite different from Nairobi, na akaniambia pia kuwa kama huamini nenda Msimbazi round about uangalie watu wanavyotembea! Utawaona wanaburuza miguu kama misenge misenge!....Wana JF kuna ukweli wowote ya juu ya hili jambo??
kwa hiyo hivi ndivyo ulivyo na unavyotembea.utawaona wanaburuza miguu kama misenge misenge!....wana
About 4 years back, nilienda Nairobi, wakati natembea downtown mchana, walinitokezea mijitu minne mirefi na meusi! Ilinizunguka huku wakiwa na visu, sikutaka kuleta kukuru kakara kwa kuwa nilihofia watanidhuru, walinisachi na kunichukulia simu na wallet iliyokuwa na 700 usd na kupotea huku kukiwa na watu wengi sana, lakini nobody cared!.. Nilifanikiwa kurudi Dar, nikakutana na rafiki yangu mmoja Mkenya nikamsimulia masibu yaliyonikuta, kisha nikamuuliza kwa nini ile mijizi imeacha watu wote na kunivamia mimi? Alichonijibu kiliniwacha hoi, Aliniambia kuwa wale wezi kabla hawajamvamia mtu kwanza wanaangalia WALKING SYSTEM yake, Na WALKING SYSTEM ya Dar is quite different from Nairobi, na akaniambia pia kuwa kama huamini nenda Msimbazi round about uangalie watu wanavyotembea! Utawaona wanaburuza miguu kama misenge misenge!....Wana JF kuna ukweli wowote ya juu ya hili jambo??
Utawaona wanaburuza miguu kama misenge misenge!....Wana JF kuna ukweli wowote ya juu ya hili jambo??
kwa hiyo hivi ndivyo ulivyo na unavyotembea.
ha ha ha BWABWA kaniacha hoi hapo nacheka mpaka wananishangaa!!bwabwa una visa wewe.....mmhhh
kwa hiyo hivi ndivyo ulivyo na unavyotembea.
bujibuji hajakosea..bujibuji soma vizuri, alosema hayo maneno ni mkenya sio mimi
huyo rafiki yako alijua wewe senge na ndio mana alikwambia hivyo,maana anajua ulipokua nairobi ulitembea kisengesenge vilevile.bujibuji hajakosea..
Wewe ni bwabwa na walikuona unaburuta miguu.
Imekaa safi kweli hiyo.
Au Bwabwa ni "Bwabwa" kweli? Ni swali tu sorry kama nitakukwaza.