Ni kweli wahalifu au kuna jambo lingine?

Ni kweli wahalifu au kuna jambo lingine?

mzigua pekee

Member
Joined
Oct 22, 2013
Posts
20
Reaction score
0
Tarehe 30/01/2014 ni siku ya hukumu ya mashekh Zanzibar{mselem,faridi,mussa nk},tarehe 16/01/2014 kesi ya shehe Illunga kusikilizwa mwanza,tarehe 17/01/2014 kesi ya Imamu Hamza kusikilizwa mwanza na tarehe 06/02/2014 kesi ya shehe Ponda kusikiizwa Morogoro. JE MASHEKH HAWA WOTE WAOVU? HAWAFAI KATIKA JAMII?. naomba maoni yako mwana jf.
 
"kwa zanzibar kosa kuugusa muungano".
by Ilunga Hassan Kapungu
 
Ngoja nipige dua.Alhamdullilah labila lamin,amen! Amahumana michongo,amen! Wanajima wahadan longolongo, amen! Waruzkana halala mihogo,amen! Walata john Cina wala maana umat wake waongo,amen! Wala usitujalie wavivu kama kalla ubwabwa mandondo,amen! Assalam Aleykum.
 
Wanahubiri "chuki na ulipaji visasi" kwa wasio waislamu. Unauliza kutaka kujua kama tunajua ama? Andaa povu na jaziba za kutosha hizo siku za kusikilizwa kesi.
 
Huu ni mwaka wa ushindi kwa waislam,siku hizi kusema ukweli ni uchochezi,hakuna ushindi rahisi lazima upiganiwe cha msingi waendeleze mapambano mpaka mwisho wa uhai wao.Dunia itawakumbuka kwa mchango wao,wanacopigania ni pamoja na bakwata kumilikiwa na serikali,makanisa,mikataba ya kifisadi kwenye elimu na afya wanayopewa makanisa,kukojolewa qur'an na sio biblia,uchakachuaji wa maksi necta,upendeleo wa ajira na nafasi za masomo,uingiliaji wa mambo ya waislam,athari ya matamko ya wakristo n.k.Tunaomba serikali isimame kwenye haki inachowapa au kuwanyima wakristu na waislam hivyo hivyo.
 
haya yote yanatoka kwa watu wakisemwa ukweli na kudai haki zao....sasa bila haki kuwepo hakuna amani.....
 
hakuna aliyejuu ya sheria kama wanamakosa wawajibishwe mbona kuna wachungaji wengi tu wapo gerezani.
 
wanajaribu kuizima nuru ya ALLAH kwa vinywa vyao.
Kamwe hawatoweza.
 
Nothing new same rubbish, same blah blah from same hopeless people. Am out.
 
Tarehe 30/01/2014 ni siku ya hukumu ya mashekh Zanzibar{mselem,faridi,mussa nk},tarehe 16/01/2014 kesi ya shehe Illunga kusikilizwa mwanza,tarehe 17/01/2014 kesi ya Imamu Hamza kusikilizwa mwanza na tarehe 06/02/2014 kesi ya shehe Ponda kusikiizwa Morogoro. JE MASHEKH HAWA WOTE WAOVU? HAWAFAI KATIKA JAMII?. naomba maoni yako mwana jf.

Jambo hili liko mahakamani halitakiwi kujadiliwa. Hiyo ni kuingilia uhuru wa mahakama. Na vile vile ujue anaekosea ni binadamu kwa sbb ana ufahamu.
 
Tarehe 30/01/2014 ni siku ya hukumu ya mashekh Zanzibar{mselem,faridi,mussa nk},tarehe 16/01/2014 kesi ya shehe Illunga kusikilizwa mwanza,tarehe 17/01/2014 kesi ya Imamu Hamza kusikilizwa mwanza na tarehe 06/02/2014 kesi ya shehe Ponda kusikiizwa Morogoro. JE MASHEKH HAWA WOTE WAOVU? HAWAFAI KATIKA JAMII?. naomba maoni yako mwana jf.

Wewe wasiwasi wako ni nini, mahakama ni chombo cha.haki, ungesubiri hukumu isomwe ndo tuone kuwa hawa ni waharifu au la, usijaribu kui- pre empty mahakama utafanya watu aatoane macho humu janvini kisha post yako ifungwe kwa kuleta vumbi.humu janvini.
 
wanajaribu kuizima nuru ya ALLAH kwa vinywa vyao.
Kamwe hawatoweza.

Hii ni off point, unajaribu kumfananisha Allah na hawa vibaka??????!!!!!!!!wanaotumiwa na watu kwa njaa zao......
 
Yan we ndo umesema kweli tupu na mchambuzi bora.tusiwe tunacomment negative kisa wanaotuhumiwa ni waislam.they are after their rights so km wao Wa Zanzibar wanaona muungano hauwafaidishi wanaposema kweli ndo ivo wanafungwa!
 
Back
Top Bottom