babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,176
Hili gari linakupa picha mazingira ya usafi kiwandani yakoje.
TBS na kitengo kinachousika na health and safety katika halmashauri wako wapi?
Kama kuna chakula ambacho kinaweza kuwa contaminated easily ni dairy products.
Safari yetu sio fupi katika ku-prevent Norovirus.