Ni kweli utamaduni huu upo??

Labda huko kwenu mkuu sasa kwa kupitia kanda ya ziwa na kaskazini unaleta ule ukweli wa myafanyayo huko kwenu. Kama sio hivyo basi ulisimuliwa na bibi yako ili uacha kukojoa kitandani.
 
Mababu zetu walitudanganya sana jamani...apa najaribu kufikiria kama ulikuwa na babu kama babu yangu..utakuwa ulipigwa fix nyingi sana.
 
Katika ulimwengu wa mila na desturi, jambo lolote lawezekana
 

Si kweli kwa kanda ya kaskazini cjawahi sikia
 

..Kweli hajielewi... na hajui anatafuta nini.....toka primary mpaka leo hajapata jibu?...halafu nitamsaidia nini....tumsamehe hajui atendalo...
 
 
Katika ulimwengu wa mila na desturi, jambo lolote lawezekana
ulichosema kiasi flani ni kweli lakini kwa hili sio hata kidogo! Labda uchawi sasa maana mambo yao yako kigiza zaidi tunaweza tusijue, mwenyewe anadai ni dili hadi watu wanagombania! anaenda mbali anasema limetapakaa kwa kanda ya ziwa na kasikazini yaani eneo lote hilo hata wewe usiwe na taarifa na mwenyewe anadai ni dili kubwa tu kwa wahusika! huenda jamaa kwao ni wachawi!!!!!!!!!!!
 
Mmmmmh...hii sijawahi kusikia ndio nimeisoma hapa!
 
unaakili za kichawi ndo maana unawaza ushetani
 
kiukweli pia mm cjawahi sikia hii mambo nahtaji evidence to support ur arguement maana npo nothern zone cjawahi ona wala kuskia
 
Hii mpya! Ukamlale mfu? Maiti? Kwa moyo upi? Huu huu wa nyama au? Aisee cjawahi kuskia na mvi zangu hizi! Loh!
 
hivi serikali ipo...maana naona imekazania kwenye matumizi ya kondom na dondosha mkono sweta...haya inayaona?
 
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…