lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,184
- 33,512
KabisaaaUzi wako Complicated Sasa si itakua Yale Yale kimasihara
Hayo ndo mambo ya kula tunda kimasihara nenda kwenye uzi ule wa kula tunda kimasihara kaweke story yako watu tufaidi woteUlishawahi kukutana na hali hii? Yaani unanmtongoza KE,anakukataa kwa maneno makali na kashfa,unajiondokea maeneo hayo kwa aibu na fedheha,inapita siku,wiki,mwezi na hata miaka.Anakua anakutazama tu huruma inamuijia,Inatokea siku moja anakukumbusha,anakupa penzi hii Ni baada kukuonea huruma.je ulishawahi kukutana na hali hiyo?
Je ulishawahi kufanya Jambo zuri la kishujaa au la ushindi fulani,ukaifurahisha Jamii,akatokea Mrembo au Warembo kwa nyakati tofauti wakaonesha Nia ya kukuzawadia penzi?
Ukapewa penzi Kama zawadi.?
Jamaa anakuwa amekupigania sana amejitoa kwelikweli bila kujali Hali yake amepoteza vingi tu ili mambo yako yaende na ameumia sana na si mpenzi wakoNikuonee huruma ili iweje? Mimi nakuonea macho.
Haya ndy mambo ya kulana kimasihara nisiyoyataka, Baadae anatamba yule demu nimemla kwa wali maharage na kabichi.Jamaa anakuwa amekupigania sana amejitoa kwelikweli bila kujali Hali yake amepoteza vingi tu ili mambo yako yaende na ameumia sana na si mpenzi wako
Hata ka huruma ka kumpa hauna ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna perceptions zako zko tofaut wengine hawako hvyo mpaka anajotoa hvyo ujue anakupendaHaya ndy mambo ya kulana kimasihara nisiyoyataka, Baadae anatamba yule demu nimemla kwa wali maharage na kabichi.
HAPANA, YAANI NO NO NO
Umenikumbusha kitu mkuu,
Niliwahi hadithiwa hii story na rafiki yangu sana,(Mungu amlaze mahala pema peponi, Amina)..!!
Alikuwa na rafikiye, a real gold digger, kuna mkaka alikuwa anamtongoza hivyo ikawa ni mwendo wa vibomu, yaani vibomu hasa and that guy didn't even gave up on her nadhani alimpenda binti kiukweli, Alichokuwa anafanya binti ni kumkomoa that guy aache kumsumbua, but meeen' he didn't stop.!
Hajui hata mshkaji anafanya mishe gani, ni wanaonana tu mkaka wa watu kapendeza ile jioni ila mchana hakamatiki.!
Siku isiyo na jina anapita stand, anamuona yule mkaka anakimbizana na mabasi, yupo na vifurushi vyake anauza, kaloa jasho hatarii.!!
Binti, roho ilimuuma mno akajiona mkosaji sana, ikabidi amtunuku yule kaka sababu tu nafsi ilimsuta..!!
Hivyo hizo cases huwa zinatokea.!
Duuh miss Lee si mmejiona mlivyo hamna hurumaUmenikumbusha kitu mkuu,

π π π
Nimesoma heading tu, nikpata mantiki.Ulishawahi kukutana na hali hii? Yaani unanmtongoza KE,anakukataa kwa maneno makali na kashfa,unajiondokea maeneo hayo kwa aibu na fedheha,inapita siku,wiki,mwezi na hata miaka.Anakua anakutazama tu huruma inamuijia,Inatokea siku moja anakukumbusha,anakupa penzi hii Ni baada kukuonea huruma.je ulishawahi kukutana na hali hiyo?
Je ulishawahi kufanya Jambo zuri la kishujaa au la ushindi fulani,ukaifurahisha Jamii,akatokea Mrembo au Warembo kwa nyakati tofauti wakaonesha Nia ya kukuzawadia penzi?
Ukapewa penzi Kama zawadi.?
Nimesoma heading tu, nikpata mantiki.
Sikuhiz zama zime haribika, ni tofauti sana. SEX ambayo ni kitu kikubwa sana rohon. Kinachukuliwa poa tu.
Sikuhiz unaweza pewa game sababu nyingi tu.
1. Zawadi ya ushindan, mmewekeana Bet za timu. Timu yako ikishnda unapewa game
2.Kuji mwambafy. Kuna binti unaweza msema yeye mvivu, au akasikia kuwa mabinti wa mtaa huu hawana kitu, basi atajilengesha kukuonyesha yumo.
3.Shobo na sababu zisizo na msingi. Unaweza kuta ukapewa game kisa unajua kucheza au kuongea vizuri, na huyo mtu utakuta Bwana wake.
4.Kiki. unawdza pewa game. Sababu ya mtu kutaka kiki. Kuwa nimetembea na fulani
Ujumla, PESA, FAME,UJINGA, NJAAA vinaweza kufanya ukapewa mchezo mchana kweupeeee.
Hata mangi kutoa sukari nusu au mkaaa,akapewa zawadi ya papuchi, now days hata buku mbili ,jelo. Unakula game. Ambayo ni MUUNGANIKO HATARI WA ROHONI.
nguvu ya anonymous
Hahaa. Muuza nyanya ndo habari ya mjini. SioMkuuu sahizi wauza nyanya wanafaidi sana mbunye mkuu.. yani ukiwa na nyanya mjini utazichata hadi uchoke
Sent using Jamii Forums mobile app