Licha ya hali ya uzuni na hisia za huruma nilizokuwa nazo lakini nilipata kuenjoy uzuri na "utamu" wa Maggie, hakika ilikuwa usiku wa kipekee sana baina yetu. Na mwanzo wa "ukaribu wetu" wa muda mfupi.
Kama bibie alikupa details zake zote za huko na contacts za bi.Mdashi wake ebana fanya upae ukamtafute! Alafu sasa hapo utaonekana serious kinoma! Fanya hivyo tuipeperushe bendera... acha uzembe!
kwahiyo we unaona haiwezekani kupata pisi maisha matamu sema imevurugwa kutoka majuu?! Zenji na Arusha wapo kibao, hata wewe unaweza kubahatika ni swala la muda na nyota tu.. au kama huko mbali hata Masaki na mbezi beach wapo kibao!