GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,861
Imani ya kishirikina bado ipo sana kwa watu wengi wa Kigoma. Siyo wote, lakini asilimia kubwa inaamini katika uchawi.Waha huwa wana mambo yao ya kijima ni kabila lisiloendana na wakati
Ndivyo nilivyoshauri, lakini siku chache baadaye kuna mambo yalinifanya nimtilie mashaka kama kweli yupo serious kiimani au la.Mwambie amtafute Yesu kwa roho na kweli
Asiseme ati hauvuki maji Majini sio viumbe dhaifu Kama unavyofikiri speed yao ni kama umeme hawazuiwi na mlima,maji wala matter yoyote kwa sababu zile ni roho
Mbona inasemekana Wazungu hawajui uchawi?kule ujerumani kuna chuo kikubwa sana cha uchawi kinaitwa Malheim Institute of Occult Practices,
sasa kule kuna kozi hiyo inaitwa teleportation and portal manipulation,
kimsingi huo uchawi ukiupata utaweza kusafiri juu ya maeneo ambayo field ya uchawi haifanyi kazi ie; kanisani, juu ya bahari...
hii ni kwasababu hautumii occult objects kama ungo na fagio, ila unatoweka na kutokea chini ya sekunde
ila ni uchawi mgumu sana kumaster
huyo mzee itakuwa ni alumnus wa huko au alipewa na alumnus wa huko
ila zikija stori za dini una aminiNi mpumbavu tu anaamini story yako. Story za kishirikia huwa ni hearsay stories za uongo uongo zisizo na chembe ya uthbitisho zinazoaminiwa na watu wajinga.
Omba yasikukute!Ni mpumbavu tu anaamini story yako. Story za kishirikia huwa ni hearsay stories za uongo uongo zisizo na chembe ya uthbitisho zinazoaminiwa na watu wajinga.
ila zikija stori za dini una amini
kukataa stori za kichawi, na kukubali stori za dini lazima uwe mgonjwa
Omba yasikukute!
= kumrithisha.Kipindi fulani, nikiwa ninafanyia shughuli zangu maeneo ya machimbo ya dhahabu, nilifahamiana na kijana mmoja kutoka mkoani Kigoma. Alikuwa anafanya vibarua machimboni.
Kuna wakati alinifuata kwa ajili ya kuniomba ushauri. Aliniambia kuwa alikuja machimboni kama njia ya kumtoroka babu yake aliyekuwa akitaka kumridhisha uchawi. Japo kwa maelezo yake aliniambia kuwa alishawahi kushiriki kwenye matukio ya kichwawi, tena kipindi angali shule ya Msingi, kwa kipindi hicho alikuwa ameshaachana na hiyo tabia. Aliniambia alikuwa ameamua kuwa Mkristo. (Hata hivyo sikumwamini sana kama kweli alikuwa Mkristo kutokana na baadhi ya matukio aliyonisimulia na niliyoyashuhudia kwake).
Siku moja akiwa amelala kambini na wenzake, aliamka Usiku wa manane akaenda nje. Kitendo cha kutoka tu nje, alimkuta babu yake kajiinamia akiwa amejifunika vazi kama shuka au blanketi hivi.
Akiwa katika hali hiyo, alimwuliza kilugha(alikuwa Muha): "unachukua au huchukui?"
Baada ya kumwuliza hivyo mara kadhaa, ndipo alimjibu kwa hasira, "sichukui". Alipojibu tu, babu yake alitoweka.
Alishangaa kwamba babu yake aliweza kumfuata mpaka huko wakati alikuwa anaamini kuwa ukishavuka maji, mchawi hawezi kumfuatilia tena. Yeye alivuka Ziwa Victoria lakini bado babu yake aliweza kumfuatilia.
Ni kweli hayo mambo hutokea katika ulimwengu wa kichawi?
Huo uliouhadithia siyo uchawi.Kipindi fulani, nikiwa ninafanyia shughuli zangu maeneo ya machimbo ya dhahabu, nilifahamiana na kijana mmoja kutoka mkoani Kigoma. Alikuwa anafanya vibarua machimboni.
Kuna wakati alinifuata kwa ajili ya kuniomba ushauri. Aliniambia kuwa alikuja machimboni kama njia ya kumtoroka babu yake aliyekuwa akitaka kumridhisha uchawi. Japo kwa maelezo yake aliniambia kuwa alishawahi kushiriki kwenye matukio ya kichwawi, tena kipindi angali shule ya Msingi, kwa kipindi hicho alikuwa ameshaachana na hiyo tabia. Aliniambia alikuwa ameamua kuwa Mkristo. (Hata hivyo sikumwamini sana kama kweli alikuwa Mkristo kutokana na baadhi ya matukio aliyonisimulia na niliyoyashuhudia kwake).
Siku moja akiwa amelala kambini na wenzake, aliamka Usiku wa manane akaenda nje. Kitendo cha kutoka tu nje, alimkuta babu yake kajiinamia akiwa amejifunika vazi kama shuka au blanketi hivi.
Akiwa katika hali hiyo, alimwuliza kilugha(alikuwa Muha): "unachukua au huchukui?"
Baada ya kumwuliza hivyo mara kadhaa, ndipo alimjibu kwa hasira, "sichukui". Alipojibu tu, babu yake alitoweka.
Alishangaa kwamba babu yake aliweza kumfuata mpaka huko wakati alikuwa anaamini kuwa ukishavuka maji, mchawi hawezi kumfuatilia tena. Yeye alivuka Ziwa Victoria lakini bado babu yake aliweza kumfuatilia.
Ni kweli hayo mambo hutokea katika ulimwengu wa kichawi?
Ni elimu au ujuzi usiokuwa nao wewe.What?😃
Kama siyo ni kitu gani?
Labda sijakuelewa vizuri Mwl FaizaFoxy!Ni elimu au ujuzi usiokuwa nao wewe.
acha kujitia ujua ikiwa hujui chochote mkuuNani kakwambia naamini hizo bedtime stories?
Wewe na ndevu zako unaamini mtu alitokea na kutoweka? Mtu kasimuliwa na yeye kaja kusimulia na wewe unaamini? Inabidi uwe zwazwa kiasi gani kuamini huu upupu?
Kwa akili zenu nikiwaambia namjua mtu aliyeenda sayari ya Pluto na kurudi mtaamini?