Ni kweli tusherekee sote?

maimbi

Member
Sep 2, 2011
40
9
hiv kweli tusherekee sote nusu karne (miaka 50) ya uhuru? Au tulie sote kwa miaka 50 ya magamba ya unyonyaji ukandamizaji wa maskin,mfumuko wa bei ,elimu mbovu. Tushirikiane sote wanaharakat tuikomboe nchi yetu mikononi kwa magamba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom