Ni kweli tofauti kati ya mwanamke na mwanaume ni.............

Ni kweli tofauti kati ya mwanamke na mwanaume ni.............

Mr Global

Senior Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
150
Reaction score
125
Ebana,,,tofauti nnaizozijua mimi kati y mwanamke na mwanaume ni
1)sehemu zetu za siri (nafikir ushaelewa)
2)matiti yetu ni tofauti( " " )
3)wanawake wanauwezo wa kusikia sauti ya chini kabisa kuliko wanaume
4)hii sina uhakika nayo,,,ila watu wanasema kwamba mwanamke anazaliwa na akili
but kila sku kunavyokucha akili zinapungua,,pia ni kinyume kwa mwanaume kwamba
yeye kila kunavyokucha zinaongezeka

dah! ebhana eeee mm naju hizo,,,,,ila kama zipo zngine unazozijua funguka 2 but
mashart n vigezo yazingatiwe
 
wanawake ni wachumi sana kwenye maswala ya pesa kuliko wanaume
wapo makini kwenye kulea watoto kuliko dume
wanawake wanamdomo sana hii haijalishi ni race ngani ?duu mazee kwa hili ni noma madem wana PHD ya mdomo
wanaume wanaishi maisha mafupi kuliko wanawake
wanawake wanamatundu 8 but wanaume 7 .
wanawake wanapenda sana kuvaa nguo zetu wanaume kama suruali ,pensi,shart .bukta hata chupi zetu za kiume kwa mwanaume kuvaa za kike duu mazee sijui tutamhita jina ngani??
mazee hii ndiyo niliyaona tofauti ya wake na waume.sijui wewe toa yako
 
Back
Top Bottom