Ni kweli Tanapa wametoa shortlist?

NEWSINKP

Member
Sep 26, 2016
77
92
Habari wana Jf!
Ndugu zangu kuna rafiki yangu amenipigia cm akinieleza kua jana jumatatu amesikia Tanapa wametoa majina kwa ajili ya usaili kwa nafasi walizotoa miezi michache ilopita.
Naombeni kama kuna ukweli katika jambo hili mnijuze.
 
Habari wana Jf!
Ndugu zangu kuna rafiki yangu amenipigia cm akinieleza kua jana jumatatu ameskia Tanapa wametoa majina kwa ajili ya usaili kwa nafasi walizotoa miez michache ilopita.
Naombeni kama kuna ukweli ktk jambo hili mnijuze.
acha tusubir wadau
 
Ni qeli majina wametoa, na wametuma kwenye inbox za email za waombaji ambao wamefanikiwa kupita kwenye chujio.

Mimi mwenyewe jamaa yangu jana ndio alinihabarisha.
 
Ni kweli. Maombi yalikuwa yanafanyika kwenye online application system. Waliofanikiwa wametumiwa email ya kuitwa kwenye usaili. Ukiona kwako kimya, yawezekana kabisa hujafanikiwa kwenye mchujo. Ama hukutumia njia sahihi ya kutuma maombi. Kama ulituma maombi kwa njia nyingine zaidi ya online, sidhani kama utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom