Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 927
- 274
mi nataka zizimwe,ili atakayemiliki kweli awe na uwezo kweli.Cyo kila mtu,mtoto,vijana,wazeze,wajinga,wapumbavu,wanaf.ngendere,mbwa,sungura.n.k.wanamiliki CMU.WHAT IS THAT?imekuwa familia ya Kambale kila mtu ana ndevu.TCRA zima haraka na orijino ianzie laki 2 na kupanda.Hatutaki cmu za buku ten.
Kuzimwa sio leo wala kesho pia zitakazozimwa sio za Mchina bali ni Feki.
Mkuu unavyosema simu za kichina unazijumuisha na HTC?
htc sio za we ki-china we ng'ombe.....!!!
Acha ubishi wa kijinga pundamilia wewe!! Ni sawa na useme Zanzibar siyo Tanzania. HTC imeasisiwa Taiwan ambayo ni state ndani ya china ingawa ina serikali yake lakini haina kiti kwenye baraza la umoja wa mataifa kama Zenji!! Na kwa taarifa yako sasa hivi makao makuu ya HTC yameshahamishiwa China mainland. Mbuzi kasoro mkia wewe.
mi nataka zizimwe,ili atakayemiliki kweli awe na uwezo kweli.Cyo kila mtu,mtoto,vijana,wazeze,wajinga,wapumbavu,wanaf.ngendere,mbwa,sungura.n.k.wanamiliki CMU.WHAT IS THAT?imekuwa familia ya Kambale kila mtu ana ndevu.TCRA zima haraka na orijino ianzie laki 2 na kupanda.Hatutaki cmu za buku ten.
hiyo mitambo yenyewe ya kuzimia ni ya kichina pia,,
Ni kweli Mkuu unachosema,lakni pia tuangalie Mazingra ya kitu chenyewe hasa hasa kwenye athari zake.Mf.Unakuta mtu anataka amiliki cmu lakn hana uwezo wa kuhudumia cmu nikilenga vocha.(Pls call me nyingi,recharge me n.k.)bad inafu unakuta ukimrecharge ni kupiga tuu salam,hakuna mawasiliano ya biashara wala yenye tja ya kesho atapata wapi vocha.Vle vle cmu kama cmu kwa wabongo imekua kama fasheni na ulimbukeni vle sana kwa hawa watoto wetu,wanaf.watu wa kijijini n.k.Ni tatzo mkuu.Chukulia hii,mtu anadiriki avae suruali ------ nje lakn aweke vocha hata elfu 2 akupigie kukujulia hali,nyumbani wale dagaa lakn aweke vocha,Kwa wanaf.anadiriki ata apunguze Ada aweke vocha ya kutogozana tuuu.WaTZ wengi hatuelewi matumizi mazur ya cmu bcoz zko very cheaply.Unakumbuka kipindi cmu zinaingia semen ya kidole na zle nyingne kama rediocall zlikuwa vry expensve,line peke yake ilikuwa bk ten.Na aliyekuwa ananunua alikuwa Mzima kweli.Zzmwe mkuu watu tuelewe matumizi.Mbona Nchi zlzoendelea haya Ma Handset hawayatumii.Ni vry rarely.Land line kama kawaida.Maisha yanaenda.TUMEKUWA LIMBUKENI WA SMU FAKE.TCRA ZIMA ZIMA ZIMA KABISAAAAAAAKaka kuku anakula kulingana na mdomo wake! Sisi wengine vipato vyetu ni vidogo. Ndiyo maana vyakula tunanunua vya mafungu, sukari robo au kijiko, mkaa wa mafungu na kadhalika. Kama unataka anayemiliki simu awe na uwezo, wengine watakuambia tupige marufuku magari yaliyotumika kutoka Dhubai au Japan, yaletwe ma Hammer au VX 9! Au usafiri uwe wa ndege tu hapa nchini, je, itawezekana?
Hata zikizimwa Tanzania hatuna hasara kabisa, kwanza kabisa nataka wazizime leo kwani nani aliwaambia wanunue simu feki, tena tanzania kwa ujumla hakuna haja ya kuwatangazia kuzima kwa kuwa anakuna anayewaambia wanunue simu na vitu feki. Rahisi gharama. Wewe unanua simu imeandikwa sumusungu, nokilia, sono eliksong unanunua tu kama sio ujinga ni ujima.

paka jizi wewe hata hujui unachokementi, juu umeuliza kama htc za kichina, nimekuelewesha ki-staarabu, lakini unaonekana huelew labda nikueleweshe kwa makonzi ndio utaelewa kuwa htc sio za kichina we kifudu !!
Acha ubishi wa kibubusa bundi wewe!!Sasa HTC ni ya wapi?Taiwan siyo China? Kuna nchi inaitwa Taiwan? Hebu acha ubishi wa kiha nguchiro weye!!