Mlupembe
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 446
- 216
Sijui wengine wanawezaje kuacha uzinzi, me nimejaribu bila mafanikio..
Tangu nasoma secondary nlikuwa siwezi hata kufanya mtihani bila kuwa na ahadi na msichana nadeki tu..tatizo limekuwa kubwa zaidi kwa sasa mana naweza kujiapiza Sitaki tena girl ..lakini Utakuta from no where mnakutana na x wangu yoyote afu nashindwa kujizuia.. Hivi mpaka nimeombewa lkn kila nikiachana na mmoja anatokea mwengine basi tu ili nisiache ngono..wenzangu mnawezaje kumuhimili shetani huyu..msaada Jamani nshachoka nguvu zenyewe mpaka Congo.
Sent using Jamii Forums mobile app