Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Kuna minong`ono kuwa Rais anakimbizana Nje kupata hela za kuokoa hii budget ambayo hupangwa kwa hela ambzo serikali haina. Yaani hupanga kiujanja ujanjaili wafadhili wadhani jamaa wanayo hela kumbe hola. Sasa mziki ni kwamba ngoma imebuma..
Kama NI kwelini hatari sana,inasemekana serikali inapokea hela TRA, Tanesco na kwingine kadiri inavyoingia na kutumia hapo hapo kwa ajili ya budget inayoisha.
Sasa inaonekana CCM ngoma inakuwa nzito..wanaweza hata wasimlinze mwaka fedha na budget ijayo bila jitangaza mufilisi.