Ni kweli safari za rais nje ni harakati za kuomba hela za kuokoa Budget hii?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kuna minong`ono kuwa Rais anakimbizana Nje kupata hela za kuokoa hii budget ambayo hupangwa kwa hela ambzo serikali haina. Yaani hupanga kiujanja ujanjaili wafadhili wadhani jamaa wanayo hela kumbe hola. Sasa mziki ni kwamba ngoma imebuma..

Kama NI kwelini hatari sana,inasemekana serikali inapokea hela TRA, Tanesco na kwingine kadiri inavyoingia na kutumia hapo hapo kwa ajili ya budget inayoisha.

Sasa inaonekana CCM ngoma inakuwa nzito..wanaweza hata wasimlinze mwaka fedha na budget ijayo bila jitangaza mufilisi.
 
Kuna habari nyingine ukiziweka kichwani unaweza kufa kwa presha na hofu
 
Kuna habari nyingine ukiziweka kichwani unaweza kufa kwa presha na hofu

Haha ..Sasa mkuu niziweke wapi, na ubongo ndio kiungo pekee chenye hard Disk?.

Vipi ile habari kuwa magufuli aliwaokoa magamba hadi leo wanmheshimu..Wachina karibu wasuse barabara ya Arusha -Namanga.Magufuli akakwapua hela fasta akaenda watuliza wachina kwa makubaliano ya kulipua ili kazi iishe.Halau akatangaza kiswahili kuwa wamewapa amri wachina kuwa wasipomaliza barabara,wanafukuzwa.Na wajue kuwa tazania ndio mwajiri wake.CCM wakachakua hela ya mkopo.Ubaya wa ADB ni kwamba hawana sana says kwa vile wanaiba sana kupitia makosa yetu..Upande wa Kenya barabara ni pana na nzuri bongo,lami ni km ngazi,ina step half way.ngazi ya chini ikiwa lami ya kupaka ili kdanganya macho,ila barabara kamili ni ileile ya mwanzo.Ikawekewa mitaro ya kupendeza zaidi ya barabara kwa staili ya kuongezea illusion.

-JK kweli ni soo,kawaambia mawaziri wabandike sufuria, na wajifunze kwake ktk ahadi yoyote inayotamkika.Chakupika kitaletwa.
 
Hivi rais ana hakika kuwa akirudi atakuta moto bado upo ukichoma mawe anayochemsha ?Atakuta wanae magamba wameamua ipua na kupakuwa km moto umezimika.Hii bugdet bila hela ya makusanyo tayari ni hatari sana kwa nchi.Sasa what if nchi inapata Janga,kodi hakuna CCM serikali itakwama?

Sasa anakwenda ombaomba ili nini?atapata quick fix,ila si lasting.
 
Ongeeni polepole, mama Joyce B akiinyaka hii, ata plan kujitwalia msimbati na viunga vyake.
 
Ongeeni polepole, mama Joyce B akiinyaka hii, ata plan kujitwalia msimbati na viunga vyake.
Teh teh....CCM ipo shida mingi..na J Banda angekuwa na kauchumi vizuri kidogo angetia timu angetu damage sana..Jamii ya kimataifa inajua sisi tuna majeshi mpakani,ila si malawi.Kwa hiyo wakijipiga bomu moja halfu walalamike n akuanza fanya mashambulizi itakuwal kwetu..Rais atawaahidi na kuwazia wafandhili kila kitu ili mradi njaa ya siki ipite.Si wawapigie magot CDM waokoe jahazi ...chama cha watanzania kina heri ya watanzania.Watachagisha.
 
mbona hilo liko wazi kuwa serikali imefilisika toka mwaka jana...ni wazi kabisa hilo halina ubishi ...ndo maana JK anadharauliwa sana kaenda Singapore kapokelewa na mkurugenzi wa maendeleo..hahaaa yaani kapokelewa na mtu wa chini mno
 
Kuna minong`ono kuwa Rais anakimbizana Nje kupata hela za kuokoa hii budget ambayo hupangwa kwa hela ambzo serikali haina. Yaani hupanga kiujanja ujanjaili wafadhili wadhani jamaa wanayo hela kumbe hola. Sasa mziki ni kwamba ngoma imebuma..

Kama NI kwelini hatari sana,inasemekana serikali inapokea hela TRA, Tanesco na kwingine kadiri inavyoingia na kutumia hapo hapo kwa ajili ya budget inayoisha.

Sasa inaonekana CCM ngoma inakuwa nzito..wanaweza hata wasimlinze mwaka fedha na budget ijayo bila jitangaza mufilisi.

Kama ni kweli basi Tanzania imekuwa ikikataliwa mara nyingi kwa sababu juhudi zake za kusafiri kwa ajili ya "Kuhemea" ni asilimia 180 ya Marais waliomtangulia, mbaya zaidi mafanikio yako nyuma yaani tunachopata ni """"MAisha Bora Kila Mtanzania"""""
 
Kwa Maccm hakuna kinachoshindikana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kuna msemo waswahili wanasema "Hata mbuyu ulianza kama mchicha" Nahisi sasa hata nyuzi zilianza kama tetesi.
Lisemwalo lipo Kama halipo lingoje kwenye corner. Linakuja.
 
Usitake nambia kuwa sisi nao twakaribia kufikia Ugiriki

Ugiriki wana afadhali kwani wamesambaa duniani ote wakiwa na bar,restaurant,mashamba na biashara ya meli...na helenic societies zote duniani bado zinanafanya kazi kwa maslahi ya greece.

sisi akina chenge wameka hela kule tuu,na ili uongeza wanachukua nyingine na kuzipeleka nje.
 
Back
Top Bottom