Ni kweli ruge alitoka na kat deluna na mya??

Ni kweli ruge alitoka na kat deluna na mya??

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
kuna tetesi zinasema eti kuwa ruge mutahaba uwezo wake wa kuwala wasanii wa kibongo haujaishia hapo ila mhaya huyu inasemekana aliwahi kutoka na mya pamoja na kat deluna
chanzo chetu cha habari (jina kapuni) kililiambia gazeti hili kuwa bwana ruge alifanya hayo mambo kipindi kile wasanii hao wamekuja kufanya show..


Kwa wakati tofauti hata hivyo bwana ruge alivyotafutwa kujibu mashitaka yake mpaka ninaingia hapa mitamboni kilonga longa chake kilikuwa hakipatikani. uchunguzi unaendelea...
 

kuna tetesi zinasema eti kuwa ruge mutahaba uwezo wake wa kuwala wasanii wa kibongo haujaishia hapo ila mhaya huyu inasemekana aliwahi kutoka na mya pamoja na kat deluna
chanzo chetu cha habari (jina kapuni) kililiambia gazeti hili kuwa bwana ruge alifanya hayo mambo kipindi kile wasanii hao wamekuja kufanya show..
Kwa wakati tofauti hata hivyo bwana ruge alivyotafutwa kujibu mashitaka yake mpaka ninaingia hapa mitamboni kilonga longa chake kilikuwa hakipatikani
uchunguzi unaendelea....

kate, mya labda wa kichina
 
Hivi ni kweli Mungi alitoka na Salma?

Majungu mpaka jf jamani! au mie nipo nyuma ya chit chat?

The Home Of Great Thinkers
 
watu tunapenda K,ila uyu muhaya kwa K utafikili karogelezewa vile...
Ebu mcheki Zamaradi tumbo,sasa sijui nae atamtelekeza au vp.
 
watu tunapenda K,ila uyu muhaya kwa K utafikili karogelezewa vile...
Ebu mcheki Zamaradi tumbo,sasa sijui nae atamtelekeza au vp.

hehehe yy ndio anahusika pale kwa zamaradi enh??
masikiniii weee!
 
Back
Top Bottom