Mimi nafikiri tuanze kuwakamata wote waliosema kuwa mafisadi hawakamatiki (Rais, Mawaziri, Mkuu wa polisi) kwani wana mashitaka ya kujibu kwa kutotekeleza wajibu wao na pia kwa kupotosha UMMA.
I can't believe serikali na vyombo vyake vya dola inasema kuwa haiwezi kukamata mafisadi.
That does not make any sense!