Ni kweli refa wa mechi ya Simba vs Yanga kafungiwa?

Status
Not open for further replies.

Joh Daisy

Senior Member
Jul 4, 2016
112
225
Kama kweli hizi habari ni za kweli basi soka la Tanzania lipo matatani sana. Maana makosa yaliyojitokeza yalikuwa ya kibinadamu na hata katika league za wenzetu yanatokea sana, lakini sidhani kama marefarii wanatolewa kafara kama huku kwetu.

Hii ishu ya juzi mimi pia ni shabiki wa Simba lakini nilipoliangalia goli la Hamisi Tambwe nilikili kuwa ni vigumu sana kwa refa kuona kwa haraka tukio kama lile na kiukweli refa sio Mungu.

Kumfungia kunaweza wapoza waliohisi wameonewa lakini sio fair sana kwa refa. Hii itawafanya hata marefa wengine kuwa under pressure katika kila game ya watani wa jadi.
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
13,775
2,000
Asipofungiwa ama kufukuzwa kabisa nitashangaa,na soka bongo halifika popote itakuwa ni kupigwa tu.
 
Baba Kiki

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,541
2,000
Kama kweli hizi habari ni za kweli basi soka la Tanzania lipo matatani sana. Maana makosa yaliyojitokeza yalikuwa ya kibinadamu na hata katika league za wenzetu yanatokea sana, lakini sidhani kama marefarii wanatolewa kafara kama huku kwetu.

Hii ishu ya juzi mimi pia ni shabiki wa Simba lakini nilipoliangalia goli la Hamisi Tambwe nilikili kuwa ni vigumu sana kwa refa kuona kwa haraka tukio kama lile na kiukweli refa sio Mungu.

Kumfungia kunaweza wapoza waliohisi wameonewa lakini sio fair sana kwa refa. Hii itawafanya hata marefa wengine kuwa under pressure katika kila game ya watani wa jadi.
Makosa ya kibinadamu sawa, lkn kwa nini yote yalikuwa ni dhidi ya timu moja? Pale kwenye kadi nyekundu ndio akipojitengenezea mazingira magumu zaidi kwa kuwa kadi nyekundu haikuwa ya lazima.
 
Status
Not open for further replies.
Top Bottom