Mh.Rais JPM wakati akiongea na wazee wa Dar alitoa msimamo wake kuhusu mgogorom wa Zanzibar ambapo alisema hawezi kuliingilia swala hilo kwa sababu ZEC ni chombo huru hakiingiliwi.
Lakini kitu alichonishangaza ni pale aliposema wanaopinga maamuzi ya ZEC waende mahakamani wakati katiba ya Zanzibar hairuhusu maamuzi ya ZEC kuhojiwa mahakamani.