Jewel
Senior Member
- May 1, 2008
- 176
- 62
Hallow wana JF hivi kuna ukweil kwamba mafuta ya Taa ni dawa ya mhemko kwa wanafunzi maana shule anayosomea binti yangu ni ya boarding na ni wasichana tu .Shule hiyo wanatabia ya kuwawekea mafuta ya taa kwenye vyakula na maji ya kunywa ili wawapunguzie mihemko. Je haina madhara kwa baadae?