Ni kweli ni dawa ya mhemko kwa wanfunzi

Jewel

Senior Member
May 1, 2008
167
54
Hallow wana JF hivi kuna ukweil kwamba mafuta ya Taa ni dawa ya mhemko kwa wanafunzi maana shule anayosomea binti yangu ni ya boarding na ni wasichana tu .Shule hiyo wanatabia ya kuwawekea mafuta ya taa kwenye vyakula na maji ya kunywa ili wawapunguzie mihemko. Je haina madhara kwa baadae?
 

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,011
9,178
Nakumbuka hata mimi nilipokuwa high school(wavulana tupu), nakumbuka sometimes ladha ya msosi ilikuwa kama ina mafuta ya taa hivi!.
na jiko lililokuwa linatumika kupikia ni la Kuni, kwa hiyo ishu ya mafuta kuingia kwa bahati mbaya kwenye msosi ilikuwa haipo!.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom