SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,922
- 2,000
Kuna waziri anajibu swali la mmbunge wa longido bwana laizer,waziri huyu anajibu swali hili kwa niaba ya waziri mkuu.Waziri huyu anajitapa eti hii nnchi inafanya miradi yake kwa kujitegemea.
Mkulu wakati kila siku anapaa kwenda nnje kuomba misaaada.Ina maana waziri huyu hajui kila kitu hapa ni kwa misaada ya wahisani.sitaki kuwatoa katika kampeni ya kudai chetu ila nahitaji ufananuzi tu ni kweli tumefikia hatua tumeweza kujitegemea?