DADY SMART
Member
- Apr 24, 2025
- 43
- 92
Hata wabunge salary yao ni milioni 4 ila kwa mwezi wanakunja 18m kwa BANKWA.Prof Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M
Net pay ni 3.3milion
Maximum salary kwenye Government ni TZS ngapi ? Kwa directors
Mwenye updated information za salary scales mpya ,Please share
Kama CAG ni 4.7 M mbona huo ni mshahara mdogo kwa cheo chake na sifa?
Je Gavana naye atakuwa below 5milion
Tunahitaji Draw tu baaasi.Yanga bingwa
utumishi wa umma ni kazi ya kizalendo na sio biashara ya kukupa faida na maslahi manono gentlemanProf Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M
Net pay ni 3.3milion
Maximum salary kwenye Government ni TZS ngapi ? Kwa directors
Mwenye updated information za salary scales mpya ,Please share
Kama CAG ni 4.7 M mbona huo ni mshahara mdogo kwa cheo chake na sifa?
Je Gavana naye atakuwa below 5milion
Kwa hiyo mzee unataka kupingana na Prof au unataka kusemaje?ukishajua itakusaidia nini?fanya kazi.Prof Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M