Ni kweli MENO ya binadamu yana sumu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli MENO ya binadamu yana sumu?

Discussion in 'JF Doctor' started by tizo1, Mar 27, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jaman wana jf tafadhali mnisaidie kuna mtu kaning'ata mpaka kidonda,JE MENO YANA SUMU?NINI FIRST AID NA TIBA YAKE?
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Pole kwa kutojibiwa kwa siku kadhaa. Meno ya binadamu hayana sumu (kama unamaanisha sumu kama ya nyoka, nge etc). Ila vinywa vya wanyama akiwemo binadamu ni vichafu, nikimaanisha kina bacteria wengi na hivyo wanaweza ku'infect' kidonda wakati umeng'atwa kwa jino.

  Natumai mpaka sasa utakuwa umeshapata 'first aid', ila next time (sikuombei ung'atwe tena) njia nzuri ni kusha kwa maji mengi yanayotiririka au kwa antisepctic eg spirit, iodine, alcohol (sio bia) etc. na kisha uche wazi hicho kidonda...usikifunge au kubandika plasta. Mara chache unaweza ukahitaji atnibiotic kama cloxacillin au ampiclox.
   
 3. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nashukuru mtaalam.JF ni muhimu sana kwetu watanzania inatuamasisha sana na kuelewa mambo muhimu yanayotutatiza
   
Loading...