Ni kweli mapenzi humnufaisha mwanaume tuu.


Watoto wakiume hua hawaharibiwi bali hua wanazuzuka na nikwa muda tu badae wakizoea wana waharibia wa kike maisha yao.
 
Nimemuona mahala ila sikumbuki wapi dah kumbe mbona hujanambia wewe hujui mie ndo mwenyewe shauri yako nitakuwa sikusindikizi mie

Hapana shemeji usifanye hivyo bana, mi ndugu yako ujue.

Nilikuwa sijakwambia network ilikuwa bado ina search, sasa ghafla nikajikuta nimekuwa connected na loveness love.

Sogea sasa nikunong'oneze; lovenes anasema anaogopa mkurya, na mimi bado najitahidi kumhakikishia kwamba wakurya tuko poa, nadhani kwa hili utanifaa sana. Ila usimwambie mtu, siri yako. We nisindikize tu huenda akikuona atasema neno litakaloleta furaha maishani mwangu.
 
Katika mapenzi tunachezeana, tunatumiana na tunaharibiana.
Lawama huangukia upande mmoja kwa sababu mwanamke ndio huathirika zaidi kama mambo hayotoenda sawa.
 
shemeji salama lakini?

Sasa kama ndivyo, inakuwaje siku hizi visichana under 17 vinawakimbilia 45+?

Si kuonyesha kwamba za 45+ ndo zinachemka kuliko under 17 wenzao? Experience matters shemeji!!


ndugu yangu umenistua kweli,,,, hao 17 kwa 45+ wanafata mkwanja kwa sababu 17 mwenzake mpaka aombe nyumbani ameki ndo anje kumpa wakati 45+ afungua waleti yake anatoa.......

mwanaume ndo anaharibika anapofanya mapenzi kwa sababu unapunguza ile kitu ambayo inabidi mwili itumie tena protein na nutrients zingine kuitengeneza ndo maana kama umeshafanya uchunguzi ukiwa unafanya mapenzi mara kwa mara ujazo wa kile ukitoacho kinapungua, ila ukikaa muda mrefu hujafanya, siku uki do ujazo unakuwa mkubwa... Ndo maana

hao 45+ wakienda kamoja hoi na mkwanja kibao anamwaga ndo maana 17 wanawapenda..


mwanamke anaharibika pale anapojifungua mara kwa mara lakini pale kwenye tendo la ndoa ye hapotezi chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…