lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,685
Wanajamii forum wenzangu naomba mnisaidie nipate kuelewa juu ya blood groups, kwamba.
(1) Mtoto anaweza kufanana blood group na wazazi wake au mtoto huzaliwa na group lake la damu tofauti na wazazi wake.
(2) Je blood group hubadilika?
Nauliza hili swali kwa sababu yupo sister mmoja ni mjamzito alipoenda clinic kupima damu aliambiwa apime tena blood group mana huwa zinabadilika.
Je hili ni kweli?Doctors msaada hapo.