Ni kweli Lowassa chaguo la wengi?

Ni kweli Lowassa chaguo la wengi?

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Wengi tumeaminishwa kuwa Lowassa ni chaguo la wengi, na ndicho anachokiamini hata yeye mwenyewe, "huu si upendo bali ni mahaba" kama ni kweli je, itashindikanaje kwa mtu huyu kuwa raisi?

Nashangaa Magufuli bado ana imani ya kwenda ikulu, teh teh teh politics is so funny.
Mungu Ibariki Tanzania.


youngsharo
 
Last edited by a moderator:
Hapa kazi tu porojo peleka ukawa
 
Dr. Magufuli Hata Kwa Tunguli/Karumanzira Kwenye Sanduku la Kura Hawezi Kuingia Ikulu...Rais wa JMT Ni Mh. Lowassa, Dr.

Magufuli ni Msindikizaji tu.
 
Hapa kazi tu porojo peleka ukawa
681326465510382266
 
kwa kweli Magufuli akiingia ikulu miaka mitano atakuwa anashangaa kaingiaje!
 
Nikipenzi cha watu weng ambao bado awajajua ukweli kutoka kwa dr slaa but Kama Mimi never

maelezo mengi ya nini nilitaka jibu moja tu, ni chaguo la wengi? ndio au hapana sasa kama wewe si chaguo lako basi ni mmoja kati ya wachache wanaomkataa lowassa.
 
Hali inayotokea bara mwaka huu kule zanzibar imekuwa ni kawaida kwani kama ni watu kujaa kwenye mikutano ya cuf na kutundika mibendera kila mahali imekuwa hivyo toka 1995 lakini chaguzi zote maalim seif anaanguka,kwahiyo huyo lowassa naona atazimia siku hiyo magufuli atapotangazwa kuwa rais

hujatoa jibu mkuu.
 
Back
Top Bottom