TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
Ni wazinzi wenzake tu ndo wanashirikiana nayeDr Slaa atakuwa na nguvu sana , kama kila mtu mwenye ushawishi kwenye jamii anamuunga mkono...
Kama hujala nenda kale kwanza ndo uandike ujinga wako hapa
Dr Slaa atakuwa na nguvu sana , kama kila mtu mwenye ushawishi kwenye jamii anamuunga mkono...
Kama hujala nenda kale kwanza ndo uandike ujinga wako hapa
Dr Slaa atakuwa na nguvu sana , kama kila mtu mwenye ushawishi kwenye jamii anamuunga mkono...
Mkuu, hata mie nashangaa sana kuona kuna watu wanasupport matendo ya kishetanina wewe unawatetea IBILISI kama akina Gwajima?
Kwa hiyo!kumbe nawe huna uhakika wa habari?!!!
Kweli kabisa Mkuu.cha kushangaza wanaofanya matendo haya ni watumishi wa MunguKama nguvu angeshakuwa nayo, kachuja hana jipya tena labda nguvu ya mambo kama ya akina Gwajima.
kumbe nawe huna uhakika wa habari?!!!
Kweli kabisa Mkuu.cha kushangaza wanaofanya matendo haya ni watumishi wa Mungu
Kweli imeandikwa. Wazinzi watashikamana na wazinzi wenzao. Gwajima Mzinzi akizini na Flora Mbasha anashirikiana na Mzinifu Slaa anayezini na Josephine Mushumbusi. Wanajuana hawa na kujuana kwao kunatokana na uzinifu
Hekima inasema kama uko karibu na huyo Gwajima, jibuni tuhuma ili ziishe kama ni uongo.Kama hujala nenda kale kwanza ndo uandike ujinga wako hapa
Kwa hiyo!