Ni kweli kwamba kuna mafuta ya kulainisha sehemu za siri za mwanamke bila madhara?

ruston8919

Member
Mar 31, 2012
68
14
During sex ktk maeneo ya msichana wangu panakuwa pakavu sana hadi kero hata nikimchezea sana, je ni kweli kuna mafuta yanauzwa kwa ajil ya kulainisha? Msaada pliz

 
Kwanza kabisa inabidi utazame kama muda wa love play umemtosheleza, wanaume wengi tuko wabinafsi sana. Asumani akisha kasirika tu, tunaamini kuwa girls wetu wako tayari! Siyo!!!!!!!!!!!!!! Hilo ni la kwanza, pili mazingira mnayofanyia, kuna usalama, privacy ya kutosha n.k Kwa wanawake ni kitu cha muhimu sana but for men popote haa kichochoroni anaridhika tu................Tatu,Ndena pharmacy ulizia K_Y Jelly. Lakini inabidi umshirikishe mpenzi wako. Si wanawake wote wanaopenda kutumia aina hiyo ya kilainishi. Inatakiwa fikra zake ziridhike kutumia mafuta hayo.
 
Durex na vaginal lubricant zingine (supermarket), KY (chemist) , mate (for quickies)... hakikisha lubricant unayo tumia ni water-based. Usitumii ya mafuta, Condom itabust kabla hujamaliza shughuli.
 
BAK, unaniponza sasa, imenilazimu kudance.
i love this song, nashangaa Kwenye old skul haupigwi!
Thanks best:redface::redface:
 
Last edited by a moderator:
Best hizo beats ni lazima zikunyanyue na kuanza kujitikisatikisa kwa raha zako :) Jirekodi basi halafu weka kule Utube, naweza nikaiba style mbili tatu za Best na kuchanganya na za kwangu :)

BAK, unaniponza sasa, imenilazimu kudance.
i love this song, nashangaa Kwenye old skul haupigwi!
Thanks best:redface::redface:
 
During sex ktk maeneo ya msichana wangu panakuwa pakavu sana hadi kero hata nikimchezea sana, je ni kweli kuna mafuta yanauzwa kwa ajil ya kulainisha? Msaada pliz


Nimecheza na google kidogo. Nimekuta kitu wanaita Frigid.

Mwanamke akiwa frigid unakuwa una mwili wake tu, lakini mawazo na moyo wake vipo kwingine;
yaani kichwani mwake anawaza mambo mengine kwa hiyo hayupo nawe kimawazo.
KY utaitumia sawa, lakini si tiba ya kudumu. Tiba ni kumfanya akutake kama walivyosema wengine.

Unamfanyaje akutake?... hapo sasa itabidi tuanze tu thread nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom