AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,233
- 20,527
Rekebisheni ile UI iwe na muonekano mzuri hata kwenye simu sio kwenye desktop na tablet tu, acha makasirikoTuonyeshe ya kwako uliyobadili padding ikawa na muonekano mzuri.
Maneno mengi, leta tuone hizo zako zenye muonekano mzuriRekebisheni ile UI iwe na muonekano mzuri hata kwenye simu sio kwenye desktop na tablet tu, acha makasiriko
Nendeni mkarekebishe muonekano ule acha maneno mengi fungua PC fanya marekebisho,Maneno mengi, leta tuone hizo zako zenye muonekano mzuri
Kwanini kisukari kimetokea wapi ?Kisukari cha huu uzi ni kikali sana aisee
Subirini hapo haposisi wa uchwara tunaocustomize kwa templates za WordPress tukae ama tuondoke..??
hizi bed sofa huo ubao hata mtoto wa darasa la nne tena wa kike anabeba... Je vyenu pia mbao zake ni nyepesi..??Furniture Safi 🇹🇿0786437672
✅Mali safi kitanda 5/6
✔️Materials ni hardwood, hard board and blue valvert
✅Bei ya kitanda ni Tsh 850,000/=
💯Kazi ni uhakika na imara
Kazi zetu zote zinafanywa kwa oda Tunapatikana manzese Argentina View attachment 2681355
Kwanini kisukari kimetokea wapi ?
Dawa ipi UX/UI Developers hatuna wanatengeneza vituko tu jamaa yaan Front-end engineer ndio anatengeneza UI km ile kweli?Jitahidi kufanya mazoezi na kunywa dawa
Iko wapi hiyo design, hujaambatanisha kwenye uzi mkuuDawa ipi UX/UI Developers hatuna wanatengeneza vituko tu jamaa yaan Front-end engineer ndio anatengeneza UI km ile kweli?
Atakutana nao huko huko kidimbwi,Ili kumsaidia Unaonaje huu ujumbe ukimtumia muhusika,au unauhakika yupo humu?
Ndio inaendelea kaa kwa kusubiri,Itaendelea
Na wewe unaitaka uioneIko wapi hiyo design, hujaambatanisha kwenye uzi mkuu