Ni kweli kuna wanawake wanapepo la ngono ? au maneno tu

Inawezekana kukawa na ukweli;katika mahusiano ya miaka iliyopita nilikuwa na rafiki,na yeye alikuwa anapenda sana s.ex na ukiwa naye anapoteza fahamu kwa muda au kugeuza macho,na alikuwa akitaka kusafiri mtafurahia tendo usiku na asubuhi ikifika anaamka mapema atafanya usafi wa nyumba na kuwasha udi,na baadaye anaondoka.
 
Back
Top Bottom