Nianze kwa kuwatakieni pasaka njema nyoote,:amen:
Kisha nije kwenye jambo hili ambalo mii huwa ninaliwaza sana. Maana mimi sio mtoto, nimeshafikia umri wa kutosha kupiga kura za kimapenzi na pia kupigiwa kura na yeyote. Ikiwa ataniona nafaa kuwa mgombea kwenye milki ya ufalme wake.
Ktk kuishi kwangu mara nyingi nawasikia watu wakisema ooh namtafuta mtu ambaye nitaendana nae kwa kila kitu. nimpende nae anipende-kisha tupendane. mambo meengi hufikiriwa sana na watarajiwa kwamba kwenye ndoa yao wataishi aina fulani ya maisha. lakini mara baada ya ndoa mambo hubadilika
Sasa naombeni tuchambue yafuatayo:
1. Ni kweli kuna ndoa isiyo na matatizo?
2. hivi ni Jinsia gani huwa na matatizo zaidi kwenye ndoa?
3. kama ndoa zina matatizo kwanini kuoa au kuolewa? kama vipi si bora kubaki hivihivi tu?
4. Lakini namna gani tunaweza kuepuka matatizo kwenye ndoa zetu?
5. na jee kama mmoja akiwa na matatizo/usumbufu kwenye ndoa muonewaji anaweza kufanyaje?
Hebu mwaga ma IQ yako hapo tuone namna gani tutabaki salama kwenye jumba la ndoa.. ambalo watu wanasema ni jumba la ajabu sana WALIOMO WANAPENDA KUTOKA NJE, NA WALIOKO NJE WANAPENDA KUINGIA NDANI