Ulitaka kusema nini?
Kuviita vyombo vya habari ni vya kihuni na vinamilikiwa na wahuni ni uhuni usiomithilika wala kuvumiliwa. Kama una majina yake tuwekee hapa tuvijadili na kuubaini uhuni wake na kinyume chake unatumika visivyo.
Nikushauri uanzishe vyako ambavyo vitakuwa na kazi ya kusifu tu.
Umeharibia sikukuu.