madudeyahatari
Senior Member
- Apr 11, 2017
- 137
- 39
- Thread starter
- #61
Wewe kweli ni kichwa embe.
Hujui impact ya uzushi kwenye media inavyoathiri jamii?
Hujui impact ya uzushi kwenye media inavyoathiri jamii?
Mkuu mleta mada, nadhani unakumbuka nguvu kubwa ya magazeti iliyotumika kwa ajili ya kutaka kumfanya JPM asishinde urais wakati ule wa kampeni.Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.
Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.
Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Wala si kijana wa lumumba huyo, ni mhuni fulani hivi!Pamoja na elimu yetu ni mbovu ila vijana wa Lumumba aisee hawataki kushughulisha kabisa ubongo wao, kama huyu aliandika huu uzi
Mimi nikimuono ktk tv nabadili chanel.Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.
Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.
Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
None of them, naona amekuja kutukana tu vyombo binafsi vya habari..
yy chombo kizuri cha habari ni kile kinachosifia serikali,
alafu jamaa anainekana kichwani kwake hamna kitu.. toka lini chombo cha habari kikaweza kukwamisha maendeleo yanayofanywa na Serikali
Nimpende yeye ni Yesu? Mtu gani anafurahia chakula kiongezeke bei...atakwama kwasababu serikali ina hali mbaya kifedha.
..miradi ya maendeleo imepewa asilimia isiyozidi 35% ya kiwango ilichopangiwa na bunge.
..according to CAG serikali imeshindwa kuchangia mafao ya wafanyakazi ktk mifuko ya hifadhi ya jamii. Hili ni tatizo kubwa.
..sekta ya kilimo inachechemea. Takwimu toka vyanzo tofauti zinaonyesha ukuaji ktk sekta hiyo ni chini ya asilimia 2%.
du....naona Bashite kachachamaa humu JF kwa kuja na IDs kibao!Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.
Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.
Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Kama anavyojipendekeza, eti kajenga hostel UDSM kwa shilingi elfu ishirini. Akawadanganye nzi wa kijani.Kwa vile umesikia vyeo viko vingi umeamua nawe kujipendekeza.
Huyu aliyeandika hapa atakuwa mume wa cocochanel manake akili zinafanana!
Jifunze ku quoteAcha ujinga jomba, kama kuna sehemu wajinga wamejaa basi ni ndani ya jukwaa hili.
Toka matusi yalipoluhusiwa badala ya kushindana kwa hoja ndipo umaarufu ulianza kupotea.
Sasa kuna greater thinker wachache na wahuni wengi mithiri yako ambao huibuka kwa mistari miwili mpaka mitatu iliyojaa matusi.
Mnatumika nn?
Haaa haaa upo cocochanel?Ha ha haaaaaa
Mbona hukunipa mwaliko na mimi niwepo siku ulipofungisha hiyo ndoa!?
Haaa haaa upo cocochanel?
Magufuli mwenyewe anadharau vyombo vya habari na haoni kama ni mhimu, mtakumbuka siku ile anawaapisha akina Mwakyembe alisema vyombo vya habari vinapiga kelele wakati kijijini watu hawaelewa vyombo vya habari vinasema nini.None of them, naona amekuja kutukana tu vyombo binafsi vya habari..
yy chombo kizuri cha habari ni kile kinachosifia serikali,
alafu jamaa anainekana kichwani kwake hamna kitu.. toka lini chombo cha habari kikaweza kukwamisha maendeleo yanayofanywa na Serikali
Na wewe ulikuwepo kama kawaida yako?Nipo nimejaa tele, nafurahia mapumziko siku hizi kwasababu watu wameanza kunyooka kidogo kidogo.
Jana RC alikuwa uwanja wa Taifa na Mwigulu uliwaona?
Cocochanel natamani nikuone unafananaje ,jinsi ulivyojivalisha manguo ya kijani na njano mwili mzima,sipati picha!Nipo nimejaa tele, nafurahia mapumziko siku hizi kwasababu watu wameanza kunyooka kidogo kidogo.
Jana RC alikuwa uwanja wa Taifa na Mwigulu uliwaona?