Ni kweli kila msichana ni bikira?

Ni kweli kila msichana ni bikira?

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
Wana JF habari yenu,

Naomba kusaidiwa ni kwanini kila msichana anaejaribu kudai nae ananiambia ni bikira hata yule anayemfahamu kashawahi kuguswa na mshikaji wangu?

Au wao kusema ni mabikira wana maanisha nini?
 
Kweli usipoona ya Wahenga Utasikia ya wasasa a.k.a wa-modern.
 
Kwa hiyo unatuuliza ili tuje kukagua nyuchi za hao wasichana wako ama?
 
Fungua shule nenda kasome,ukirudi utakuwa umekua mkubwa hawatakudanganya tena.
 
Wakikwambia tena waulize ya wapi?

MWANAUME MASHINE
 
Wana jf habari yenu!?!?

Naomba kusaidiwa ,ni kwann kila msichana naejalibu kudati nae ananiambia ni bikira hata yule nayemfaham kashawahi kuguswa na mshikaji wangu!?!?

Au wao kusema ni mabikira wana manisha nini!???!!?
Msema ukweli mpenzi wa mungu sijui wengine ila mm binafsi ilitoka hio bikra miaka10 ilopita...kwanza haina ata faida sikuiz!! Mana mpango mzima ni marinda...bikra nmewaachia majoka kibisa
 
Back
Top Bottom