ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Wadau,
Leo nikiwa butcher nanunua nyama muuzaji mwenyeji wa silali amenifumbua kitu pale aliponambia yeye ameishi sana kenya na kule Umeme haukatiki na ikitokea basi maelezo ya sababu na kuomba radhi toka kwa wakuu wa shirika hufuata.
Nimeshangazwa ka hilo kama ni kweli sisi tuna tatizo gani na TANESCO?Ikumbukwe matatizo ya nishati hii tangu miaka ya mwishoni mwa '90, sasa hadi leo hii mwaka huu tatizo ni kama linazidi badala ya kupatiwa ufumbuzi shida ni nini jamani?
Tutafika kweli?