mwana wa mtemi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 374
- 204
sasa ninyi ...hivi na wao wakianza kutaja magojwa yenu/yetu na viongzi wetu...jukwaa litakalika ? Ebu leta hoja za maana.
Tunataka kutoelewana kwa kagame na jk kuishe kwa mazungumzo. Mshawishini jk azungumze na jirani yake.
kwa ufupi ni chizi
chizi kivipi?kwa ufupi ni chizi
Embu tuma hapa tuitazame!Ila huyu jamaa ni mgonjwa, nimeangalia clip alivyokua anamtishia JK nimebaki naduwaa. nimeangalia clip nyingine anawatishia wanyarwanda utadhani anatiahia pepo wachafu...
Huo ugonjwa kwa kiswahili unaitwaje?For a person who has spent many years in wars, that disease is not something uncommon!
Huo ugonjwa kwa kiswahili unaitwaje?
Huo ugonjwa kwa kiswahili unaitwaje?
Sishangai ukisoma history most world geniuses great men na inverters walikuwa na bipolar to name few maraisi wawili wa USA Lincoln na Churchill ,Author maarufu aliyeheshika duniani Charles Dickens, Actor Van damme Mgunduzi maarufu wa mwendo Sir Isaac Newton nk in short most of successful men in world has some elements of psychiatric disorder! mpaka sasa scientists wanajaribu kujua hilo tatizo limechangia kukuza uwezo wao au uwezo wao umechangia wao kupata tatizo hilo.
unasababishwa na nini?ugonjwa wa akili
Kwa hiyo anasononeka au nimeelewa vibaya? kuna kitu kinaitwa psychopath sijui kama kinaendana na alicholeta mtoa mada hapa?
Kwetu tunawaita "mwezi mchanga " ni ukichaa kulingana na miandamo ya mwezi, kiafrikaafrika huwa wanapewa madawa kila ukaribiapo mwezi kuandama.Mkuu jamaa anazungumzia masuala ya depression ambayo unaweza kui-term kama maniac depression kama sikosie ni ugonjwa wa akili wa kiaina, mtu anaweza kuonekana kasonononeka sana au kukasirika ovyo ovyo bila sababu na wakati mwingine kubwabwaja maneno yasiyo kuwa na kichwa wala miguu, phase hiyo ikipita anaingia phase ya kufurahi kuelewana na kila mtu na kuwa mstaarabu phase hizo zina alternate wiki fulani yuko in good mood wiki nyingine yuko kama mbogo na mara nyingi huwa awajitambui kama wapo kwenye sonono au la mpaka mtu wa karibu nae amshitue, neno Bipolar linamaanishi mtu huyo huyo anakuwa na split personality wiki hii yuko hivi wiki inayo fuata yuko tofauti kabisa!
Wanasayansi/madaktari waligunduwa kwamba mara nyingi phases hizi uambatana na miandamo ya mwezi (ndio maana kundi hili wanasena wana element za U Lunacy) au u- psychopath unao ambatana na phases za mwezi kama sikosei.
Mkuu jamaa anazungumzia masuala ya depression ambayo unaweza kui-term kama maniac depression kama sikosie ni ugonjwa wa akili wa kiaina, mtu anaweza kuonekana kasonononeka sana au kukasirika ovyo ovyo bila sababu na wakati mwingine kubwabwaja maneno yasiyo kuwa na kichwa wala miguu, phase hiyo ikipita anaingia phase ya kufurahi kuelewana na kila mtu na kuwa mstaarabu phase hizo zina alternate wiki fulani yuko in good mood wiki nyingine yuko kama mbogo na mara nyingi huwa awajitambui kama wapo kwenye sonono au la mpaka mtu wa karibu nae amshitue, neno Bipolar linamaanishi mtu huyo huyo anakuwa na split personality wiki hii yuko hivi wiki inayo fuata yuko tofauti kabisa!.