Ni kweli Iringa wanakula mbwa?

Sio kweli nimekaa na wahehe wakina mwagito pale kihesa hawali mbwa ni utani
ila wanapenda sana nyama na ni wachoyo wa nyama na ni wavivu wa kufaga wanyama!
Kihesa sehemu gani!!?
Maana Kuna wale wahehe wa kule kihesa kwa semtema wanapenda sana kufuga mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…