Ni kweli Iringa wanakula mbwa?

Sio kweli nimekaa na wahehe wakina mwagito pale kihesa hawali mbwa ni utani
ila wanapenda sana nyama na ni wachoyo wa nyama na ni wavivu wa kufaga wanyama!
Wamewahi kuwa wala mbwa; tribal peer pressure imewabadilisha. Waliacha baada ya kuwa wanataniwa na kuchekwa na makabila mengine.

Hata Wanyiramba zamani walikuwa wanakula punda. Nao tribal peer pressure iliwabadilisha!
 
Wanakula hadi sasa. Muulize Kasie akueleze namna anavyolishwa nyama ya Mbwa pale kwenye vibanda vya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…