jamaikatz JF-Expert Member Joined Jul 11, 2023 Posts 369 Reaction score 1,252 Jan 26, 2026 #1 Ningependa kujua kama kweli iringa wanakula mbwa maana naskia , iringa nyama bei rahisi kg 1 ya nyama ni elfu 2 Watu wa Iringa nipeni majibu.
Ningependa kujua kama kweli iringa wanakula mbwa maana naskia , iringa nyama bei rahisi kg 1 ya nyama ni elfu 2 Watu wa Iringa nipeni majibu.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,304 Reaction score 271,568 Jan 26, 2026 #2 Ohooooo
SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 4,796 Reaction score 8,980 Jan 26, 2026 #3 Eeh unatenda
jamaikatz JF-Expert Member Joined Jul 11, 2023 Posts 369 Reaction score 1,252 Jan 26, 2026 Thread starter #4 SweetyCandy said: Eeh unatenda Click to expand... Nini
H Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 4,056 Reaction score 13,045 Jan 26, 2026 #5 Subir nikuletee wahehe kutoka babati dosho12 na Seran waje kukujibu mkuu
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 3,700 Reaction score 9,837 Jan 26, 2026 #6 Harmful said: Subir nikuletee wahehe kutoka babati dosho12 na Seran waje kukujibu mkuu Click to expand... Ntakuwa muhehe wiki ijayo 😁
Harmful said: Subir nikuletee wahehe kutoka babati dosho12 na Seran waje kukujibu mkuu Click to expand... Ntakuwa muhehe wiki ijayo 😁
H Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 4,056 Reaction score 13,045 Jan 26, 2026 #7 dosho12 said: Ntakuwa muhehe wiki ijayo 😁 Click to expand... Kwahiyo jibu asubir wiki ijayo 😅😅😅
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 3,700 Reaction score 9,837 Jan 26, 2026 #8 Harmful said: Kwahiyo jibu asubir wiki ijayo 😅😅😅 Click to expand... awe na uvumilivu tu siku sio nyingi 😁
Harmful said: Kwahiyo jibu asubir wiki ijayo 😅😅😅 Click to expand... awe na uvumilivu tu siku sio nyingi 😁
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 6,725 Reaction score 13,747 Jan 26, 2026 #9 Una mbwa wangapi mkuu? Tupatane bei kwanza
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,346 Reaction score 6,855 Jan 26, 2026 #10 Sio kweli nimekaa na wahehe wakina mwagito pale kihesa hawali mbwa ni utani ila wanapenda sana nyama na ni wachoyo wa nyama na ni wavivu wa kufaga wanyama!
Sio kweli nimekaa na wahehe wakina mwagito pale kihesa hawali mbwa ni utani ila wanapenda sana nyama na ni wachoyo wa nyama na ni wavivu wa kufaga wanyama!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 45,962 Reaction score 126,394 Jan 26, 2026 #11 Stereotype.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,212 Reaction score 86,840 Jan 26, 2026 #12 Sio mbwa hadi nyani tunakula..!!
T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 5,857 Reaction score 10,315 Jan 26, 2026 #13 Who who who
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,430 Jan 26, 2026 #14 jamaikatz said: Ningependa kujua kama kweli iringa wanakula mbwa maana naskia , iringa nyama bei rahisi kg 1 ya nyama ni elfu 2 Watu wa Iringa nipeni majibu. Click to expand... Wambie waniuzie utumbo nile
jamaikatz said: Ningependa kujua kama kweli iringa wanakula mbwa maana naskia , iringa nyama bei rahisi kg 1 ya nyama ni elfu 2 Watu wa Iringa nipeni majibu. Click to expand... Wambie waniuzie utumbo nile
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,632 Jan 26, 2026 #15 Ilikuwa zamani, siku hizi hawali.
W Wisle JF-Expert Member Joined Dec 27, 2023 Posts 271 Reaction score 536 Jan 26, 2026 #16 Niliwahi kuuliza nikaambiwa kuna aina ya maharage wanayaita dogidogi. Hivyo sio mbwa bali ni mabean.
Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,411 Reaction score 3,303 Jan 26, 2026 #17 jamaikatz said: Ningependa kujua kama kweli iringa wanakula mbwa maana naskia , iringa nyama bei rahisi kg 1 ya nyama ni elfu 2 Watu wa Iringa nipeni majibu. Click to expand... Wanakula. Nimeishi huko. Mpigie huyo jamaa mwambie una mbwa anakuja kuchukua. Yupo kitongoji cha Iwindi kata ya Ihimbo Wilaya ya Kilolo. Mcheki kwa namba hiyo 0652242163
jamaikatz said: Ningependa kujua kama kweli iringa wanakula mbwa maana naskia , iringa nyama bei rahisi kg 1 ya nyama ni elfu 2 Watu wa Iringa nipeni majibu. Click to expand... Wanakula. Nimeishi huko. Mpigie huyo jamaa mwambie una mbwa anakuja kuchukua. Yupo kitongoji cha Iwindi kata ya Ihimbo Wilaya ya Kilolo. Mcheki kwa namba hiyo 0652242163
Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,411 Reaction score 3,303 Jan 26, 2026 #18 Hance Mtanashati said: Ilikuwa zamani, siku hizi hawali. Click to expand... Hadi sasa wanakula na wanakunywa na ulanzi vilabuni. Mjaribu huyo jamaa mwenye namba hii ni mchinjaji. Alikuwa anabadilisha mbwa kwa jogoo. Mjaribu ulete ushuhuda. Niliishi huko miaka 2 iliyopita. 0652242163
Hance Mtanashati said: Ilikuwa zamani, siku hizi hawali. Click to expand... Hadi sasa wanakula na wanakunywa na ulanzi vilabuni. Mjaribu huyo jamaa mwenye namba hii ni mchinjaji. Alikuwa anabadilisha mbwa kwa jogoo. Mjaribu ulete ushuhuda. Niliishi huko miaka 2 iliyopita. 0652242163
Roboti Wa Nape JF-Expert Member Joined Nov 20, 2023 Posts 1,644 Reaction score 3,806 Jan 26, 2026 #19 Kiungopunda said: Hadi sasa wanakula na wanakunywa na ulanzi vilabuni. Mjaribu huyo jamaa mwenye namba hii ni mchinjaji. Alikuwa anabadilisha mbwa kwa jogoo. Mjaribu ulete ushuhuda. Niliishi huko miaka 2 iliyopita. 0652242163 Click to expand... Ngoja nimpigie mi Thomaso
Kiungopunda said: Hadi sasa wanakula na wanakunywa na ulanzi vilabuni. Mjaribu huyo jamaa mwenye namba hii ni mchinjaji. Alikuwa anabadilisha mbwa kwa jogoo. Mjaribu ulete ushuhuda. Niliishi huko miaka 2 iliyopita. 0652242163 Click to expand... Ngoja nimpigie mi Thomaso
A Alphamale wa JF Senior Member Joined Sep 21, 2024 Posts 179 Reaction score 540 Jan 26, 2026 #20 Roboti Wa Nape said: Ngoja nimpigie mi Thomaso Click to expand... Umepigia jamaa?