Silasuga mahinyila
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 209
- 119
Msingi wa nini?ufafanuzi tafadhali mim sijakuelewa..
Jamani Ntawaeleza Mods, Ili Jukwaa Liitwe MM Mapenzi Na Mahusiano, Maanaake Tunao Taka Mambo Ya Urafiki Humu Ni Adimu Sanaaa Mnamatusi Hadi Mnaboa! Hamnaga Mambo Ya Maana
haya ngalikihinja mjini msingi kiuno.secondary nyonga .na chuo kikuu jee???
kama kiuno ni msingi .secondary itakuwa ni nin????
Siyo kweli viuno vingekuwa msingi usingekuta omba omba huko barabarani maana hata wao wana viuno lakini wanaomba omba, hata watu wasingetafuta ajira maana wote walioajiriwa wana viuno.Wana mmu, leo nimesikiliza kwa makini sana hii nyimbo ya rich mavoko,nmegundua kwann vijana wengi wanaupenda na wazee hawaupendi (hasa hii sehemu ya kuchapiwa ni siri ya ndani). Je ni kweli hapa mjini watu wanatumia viuno vyao kama msingi?
Msingi as in capital...
JF is never boring LOL...........
Wana mmu,
leo nimesikiliza kwa makini sana hii nyimbo ya rich mavoko,nmegundua kwann vijana wengi wanaupenda na wazee hawaupendi (hasa hii sehemu ya kuchapiwa ni siri ya ndani).
Je ni kweli hapa mjini watu wanatumia viuno vyao kama msingi?