Mnakataa nini, maofisini wengi tu wamepewa vyeo ht km elimu hakuna lkn sababu ya nyonga ma bosi uchwara wanawapa post. Kitaa mademu wangapi wamepsngishiwa, nunuliwa nyuma, magari, viwanja hata kusomeshwa sababu ya kiuno. Ndoa zinabomoka, zinaharakishwa na kufungwa sababu ya kiuno? Mifano ilo kibao tuu, bibie aliyeimba wanawake na maendeleo......