Kwani katikati hata kwenye vitu vingine panatafutwaje?
Sukamahela-manyoni ndo katikati ya tanzania
Katikat sio bahi bali ipo wilaya ya manyoni. Sehemu inaitwa Sukamahela ndio katkat mwa Tanzania
Sure mkuu Sukamahela na kuna alama kwenye jiwe ya pini kubwa.
Katikati ya Nchi Ni sehemu moja inaitwa mhalala ambayo ipo ndani ya wilaya ya manyoni mkoa singida. Lakini sehemu yenyewe haiko mjini ni kijijini. Ni kilometer mia kutoka Dodoma mjini.
So walifanya approximation kwa mamia yaliyo karibu.
ni kweli katikati ya nchi haswa ipo bahi ipo dodoma wajerumani waliweka pini pale na faida ya wengine katikati ya dunia ni pale maka kwenye jiwe jeusi hili liliwekwa na nabii ibrahimu nchi za magharibi wethibitisha

Watu wa Zanziberi bwana kwani wewe umefikilia nini au hilo neno katikati watu wa zanzibar na Mombasa mn maswali sanaHahahaha,hili bonge la swali na jibu ndani yake.
Maana sijaelewa hata mleta uzi alitumia muda kiasi kufikiria hili au aliteka na yeye aboost
Amini hivyo!!