Ni kweli Dodoma ni katikati ya nchi?

Ni kweli Dodoma ni katikati ya nchi?

stormed

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
212
Reaction score
42
Jamani, mimi sio mzoefu katika ramani, ni kweli Dodoma ni katikati ya nchi?
994dac1f916eb652658367357b039b7a.jpg
 
ni kweli katikati ya nchi haswa ipo bahi ipo dodoma wajerumani waliweka pini pale na faida ya wengine katikati ya dunia ni pale maka kwenye jiwe jeusi hili liliwekwa na nabii ibrahimu nchi za magharibi wethibitisha
 
Katikati ya Nchi Ni sehemu moja inaitwa mhalala ambayo ipo ndani ya wilaya ya manyoni mkoa singida. Lakini sehemu yenyewe haiko mjini ni kijijini. Ni kilometer mia kutoka Dodoma mjini.

So walifanya approximation kwa mamia yaliyo karibu.
 
Mtachanganyana.

Wengine wanamaanisha katikati mwa Tanzania na Zanzibar ikiwemo, na wengine wanashindwa kusema ni Katikati mwa Tanganyika

Ni Vitu tofauti hapo.
 
Pia tukumbuke kuna wataalam wa mambo ya Map interpretation wanaweza kuja kutuambia ukati wa kitu.
Maana kwa kumbukumbu yangu ni kwamba Ukati wa kitu unategemea vitu vingi,na pia unaweza kuwa adjusted kutona na structure ya kitu husika na nature yake.
 
Katikati ya nchi ni sukamahela,upande inapopita reli ya kati kuna mnara wamjerumani uko pale.
 
Pia tukumbuke kuna wataalam wa mambo ya Map interpretation wanaweza kuja kutuambia ukati wa kitu.
Maana kwa kumbukumbu yangu ni kwamba Ukati wa kitu unategemea vitu vingi,na pia unaweza kuwa adjusted kutona na structure ya kitu husika na nature yake.

Hilo neno "ukati" sijawahi kulitumia
 
Dodoma ni mkoa ulio katikati ya tanzania.
An exact point iliyo katikati ya tanzania ipo huko Bahi.
 
Back
Top Bottom