Ni kweli Bustani ya Eden ipo Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli Bustani ya Eden ipo Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sizinga, Sep 5, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Source: Radio France Internatinale.

  Juzi wakati nasikiliza hii radio, kulikuwa na mama mmoja anahojiwa. Huyu mama anaitwa Chaiba Kombo ni Mwandishi wa Vitabu na Mdau mkubwa wa Sanaa za hapa Tanzania. Kwa hapa Tz sio maarufu sana ila nje ya mipaka kachukua tuzo nyingi za uandishi wa vitabu vya kijadi.

  Sasa wakati anahojiwa alieleza kwamba research zake alizozifanya licha tu ya kuonyesha kwamba mifupa ya kale imegunduliwa hapa tanzania(Olduvai Gorge), ni kwamba wale watu wa zamani waliokufa kwenye gharika la Nuhu(kizazi kile kiliteketea kwa maji), mifupa yao watu hao ipo hapa tanzania na ana ushahidi huo.

  Akaenda mbali zaidi akasema Bustani ya Eden walipokaa wazazi wa mwanzo Adam na Eva pia ilikuwapo hapa Tanzania. Research yake kajaribu kuipeleka Chuo kikuu cha Dar UDSM, lakini mawazo yake waliyapuuza na hawakumpa ushirikiano. Kwahiyo anafanya kazi na wattu wa Mataifa sasahivi.

  Vp wadau kuna details zozote kwa mwenye kulijua hili?
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu nadhani nna DVD ya hiyo documentary, nikumbushe wikiendi ntaiweka hapa!
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  POUWA ukipata chance iweke, lakini vp kwenye hiyo DVD, hint zake zipoje, tupe kidogo in brief.
   
 4. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa Mujibu wa Wataalamu wa Mambo ya Kale, Eden ilikuwa nchin Iraq, Katika ya Mito miwili mikubwa , Mto Tigris na Mto Euphrates, ile ardhi ya katikati ndipo ilipokuwa Bustani ya Eden. Hiyo kusema ipo Bongo ni uzushi.
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Vp kuhusu watu wa Nuhu nao ni uzushi ama?
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  na hizi ndio simulizi halisi za kusadikika,..............mimi kwa uchunguzi wangu nimekuja kugundua bustani ile ilikua marekani na ufaransa....ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,..joke
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  nadhani utakuwa umeiangalia na umepata baadhi ya mambo na kama ni kweli au la.......tudokezee basi!!
   
Loading...