Ni kweli au si kweli? naombeni majibu.

Mdhamini

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
214
172
Nataka mtu aje na ushahidi wa kutosha kama ni kweli au si kweli otherwise mjadala huu sasa ufungwe watu mkafanye kazi. Tumeshachoka sasa maneno mengi.


Nisikie sasa mtu anacomment thread yangu bila ushahidi,,,,,,,,,




Mdhamini
 
Back
Top Bottom