Ni kweli mkuu hata Mikutano nayo imerudi kwa kasi sana pale aiccTangu mama samia aingie madarakani hadhi ya Arusha imerudi kwa kasi sana, Mikutano mikubwa inafanyika ni suala la muda tu covid ikiachia itakua bora sana.
hata mimi nimeona hilo tofauti na miaka mitano iliyopita Arusha inakuja kuwa hatari tenaTangu mama samia aingie madarakani hadhi ya Arusha imerudi kwa kasi sana, Mikutano mikubwa inafanyika ni suala la muda tu covid ikiachia itakua bora sana.
Hakuna kituBiashara zimechangamka mkuu?
Tell us moreArusha bado ipo Ila tatizo ni regionalisms na ukabila
Ishu inakuja enzi ya nyerere kulaani watu wa kaskazini ikiwemo Moshi na Arusha,akisema isitokee mchaaga ameshika uraisi😃,tatizo upendeleo wa maendeleo Ina take chance Sana kwenye mikoa,mfano dar,na kingine ccm inaogopa watu wa kaskazini watafaid Sana wakileta maendeleo kaskazini ili Hali Kuna kila kitu Ila miundombinu ni mibovu.naona mama anaanza kupenda Sana Arusha siku iz ,Tell us more
Arusha sio ya mchezo mchezoTangu mama samia aingie madarakani hadhi ya Arusha imerudi kwa kasi sana, Mikutano mikubwa inafanyika ni suala la muda tu covid ikiachia itakua bora sana.
Wivu,alipigania Mwanza wee lakini wapiAliwanyoosha mwenda zake ...
Sijui walimkera nini.. ..
Sasa hivi naona kunaanza kuwa haijambo kidogo dah!
Tanga imeizidi Mbeya..duh
Lakini hiyo ni miezi 6 ya mwanzo,,subiria final account mwezi June 2022 ndio utaleta conclusion.Tanga imeizidi Mbeya..duh
Sure..tusubirie a complete budgetary yearLakini hiyo ni miezi 6 ya mwanzo,,subiria final account mwezi June 2022 ndio utaleta conclusion.
Tamisemi huwa wanatoa kila robo mwaka kama njia ya kuwahimiza watendaji na kujipima..Sure..tusubirie a complete budgetary year
mkuu you are smart, you always read between the lines, haupelekeshwi na unachokiona.Tamisemi huwa wanatoa kila robo mwaka kama njia ya kuwahimiza watendaji na kujipima..
Pia miezi ya Makusanyo mengi kwa baadhi ya mikoa bado mfano mikoa ya Nyanda za Juu Kusini,Mazao yanaanzia kukomaa mwezi wa 3-7 kwa hiyo hapo activities zinakuwa nyingi za kuleta pesa.