GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,922
Nimetaarifiwa kuwa kama kuna Waafrika ambao ni 'Mafundi' wa 'Kujificha' katika 'Meli' wakiwa 'wanazimia' zao kwenda ama Bondeni ( Afrika Kusini ) au Mamtoni ( Nchi za Ulaya ) kabisa na 'hawashtukiwi' hadi wanafika ni Raia wa Nigeria, Senegal, Cameroon, Mali na Congo DR ila kwa Watanzania 'hudakwa' mapema tu Meli ikiwa inakata zake Kona Pwani ya Magogoni Feri / Kigamboni.
Je, sababu ni zipi labda? Kuna sababu moja 'nimepenyezewa' kila nikiikumbuka nabaki Kuvunjika Mbavu ( Kucheka ) tu hivyo ngoja niangalie kama na hapa nitapewa / nitaiona kutoka kwa Wadau Wabobezi na Werevu ( JamiiForums Members ) Na si vibaya pia kama kuna Mtanzania 'aliyezamia' na 'hakushtukiwa' katika Meli akajitokeza kutuambia Yeye aliwezaje pia Kuikamilisha hiyo Safari yake.