Ni kwanini wanawake wa kizazi hiki ndiyo wanamaumbo ya namna hii?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Hivi ni kwanini wanawake wa maumbo ya hivi wanazidi kuongezeka karne ya sasa? Mbona wanawake wa zamani hawakuwa hivi?

a5faa541a23449feb3f99289adfdfe09.jpg


Kwa baadhi ya makabila ambayo wanamaintain mila za kizamani ni vigumu sana kukuta wanawake wa ivyo. Mfano shep za ivyo kwa wamasai ni adimu sana.
 
Kama ni mpenzi wa muvi zile movies za zamani za nje na ndani ya tanzania wanawake hawakuwa wa maumbo ya namna hii.

Mfano isidingo kipind inaanza wanawake walikuwa bapa nyuma sikuizi wananundu.
Kwani na huyu ni wa muvi?

Umezungumzia wanawake wewe unaleta habari tena za wanawake wa 'muvi'..?

Mbona hueleweki mkuu..?
 
"catalist" ya umbo number nane ni vazi la kubana tu,hata huyo kuna vazi akivaa wala huwezi kumshtuka,miaka nenda miaka rudi wanawake ni wale wale tu kwa neema zile zile,TUMSIFU MUNGU KWA UUMBAJI.
Mi sikubaliani na wewe. Kuna maumbo hata avae gunia shepi yake lazima itaonekana tu. Wanawake wa zamani walivaa kanga ila wa sikuizi wakivaa kanga ni shida.
 
Back
Top Bottom